Jinsi ya Kutumia Mti wa Familia

woman-laptop-under-tree

Mti wa Familia wa FamilySearch ni nyenzo ya kustaajabisha inayoweza kukusaidia upange taarifa zinazohusu familia yako na ujifunze zaidi kuwahusu wakati unapoufanyia kazi. Ili kukusaidia uufanyie kazi vyema Mti wa Familia, tumetoa miongozo kadhaa iliyo rahisi kufuata juu ya jinsi ya kutumia Mti wa Familia.

Kwa mfano, unaweza kugundua jinsi Vidokezo vya Kumbukumbu vinavyoweza kukujuza zaidi kuhusu familia yako au unaweza kujifunza jinsi ya kujiunganisha kwa wanafamilia walio hai. Ni rahisi kuliko unavyodhani! Iwe unaanza kuanzia mwanzo kabisa ukiwa na mti wako wa familia au mti wako wa familia unarudi nyuma kwa vizazi kadhaa, daima kuna mengi ya kujifunza kuhusu familia yako.

authorBy  Sally Odekirk
February 21, 2025
Umeamua kujifunza kuhusu mababu zako na kuchangia kwenye Mti wa Familia wa FamilySearch.Hongera! Kuwagundua mababu zako kunaweza kujawa na m…
authorBy  Sunny Jane Morton
October 29, 2023
FamilySearch.org ni makazi ya mti mkubwa kabisa wa ulimwenguni wa mtandaoni, na una kumbukumbu ya zaidi ya watu bilioni moja. Gundua mengi z…
authorBy  Amie Tennant
September 29, 2023
Unapotafiti mti wa familia yako, unaweza kuwa umeona muunganiko wa herufi na namba chini ya kila jina la mwanafamilia. Hizi ni namba za utam…
authorBy  Jan Mayer
August 7, 2023
Wakati unapojaribu kuleta maana ya miunganiko ya kifamilia, kuona ni kuamini. Kila moja ya mionekano minne ya ukoo wa Mti wa Familia wa Fami…
authorBy  FamilySearch
May 21, 2024
Mti wa Familia wa FamilySearch unakuruhusu ugundue mengi zaidi kuhusu familia yako, uweze kufuatilia mti wa familia yako na kushiriki kile u…

aboutContributorHeading