Yote kuhusu Mti wa Familia wa FamilySearch

join-family-tree

Mti wa Familia wa FamilySearch unakuruhusu ugundue mengi zaidi kuhusu familia yako, uweze kufuatilia mti wa familia yako na kushiriki kile unachojua—yote bila malipo!

Tangu uzinduzi wa Mti wa Familia ulimwenguni kote mnamo 2013, mamilioni ya watu wametumia Mti wa Familia, kugundua na kuwekea kumbukumbu taarifa kwa ajili ya mababu zaidi ya bilioni moja.

Kwa viungo hapa chini, unaweza kujifunza jinsi ya kutumia Mti wa Familia wa FamilySearch, jinsi mti wa familia wa watu wote unavyofanya kazi na jinsi ya kuongeza kwenye mti ulio kwenye FamilySearch. Unaweza pia kupata njia rahisi za kupekua kumbukumbu, vidokezo na mbinu za kupata taarifa za familia na mengine zaidi.

authorBy  Sunny Jane Morton
February 27, 2024
Tovuti ya bure ya FamilySearch ni nyumbani kwa mti wa familia ulio mkubwa zaidi wa mtandaoni ulimwenguni. Ukijulikana kama Mti wa Familia wa…
authorBy  Sally Odekirk
February 21, 2025
Umeamua kujifunza kuhusu mababu zako na kuchangia kwenye Mti wa Familia wa FamilySearch.Hongera! Kuwagundua mababu zako kunaweza kujawa na m…
authorBy  FamilySearch
May 30, 2023
Mti wa Familia wa FamilySearch ni nyenzo ya kustaajabisha inayoweza kukusaidia upange taarifa zinazohusu familia yako na ujifunze zaidi kuwa…
authorBy  Rachel J. Trotter
May 21, 2024
Mti wa familia wa FamilySearch ni nyenzo ya ajabu. Kwa baadhi, kutumia Mti wa Familia wa FamilySearch kuitafuta familia yako inaweza kuoneka…
May 7, 2024
FamilySearch.org inachipuka kwenye matabaka yenye kumbukumbu nyingi—baadhi ambayo kwa hakika yana taarifa mpya kuhusu familia yako. Jifunze …

aboutContributorHeading