Fungua ugunduzi mpya kwa Utafutaji kwa Neno Kamili 

Tafuta ndani ya kumbukumbu za kihistoria ambazo hazijawekewa vielezo ili kupata majina, tarehe, na maelezo ambayo utafutaji wa kawaida hauwezi kuyapata.

Anzisha utafutaji wako

Tafuta mkusanyiko maalum

Kumbukumbu ya babu yako ni ya mkusanyiko wa nyaraka zinazofanana. Kutafuta mkusanyiko mahususi ni njia moja ya kupunguza utafutaji wako. Ikiwa hujui kichwa cha habari cha mkusanyiko, anza kuandika, na tutajaribu kukusaidia.

Mfano Alabama, Wills na Deeds, ca. 1700s-2017

Vinjari Mikusanyiko yote

Njia Mbili za Kutafuta

Tafuta kwa namna yoyote unayoona ni vyema kwako. Utafutaji wa Neno Kamili hukupatia njia mbili za kutafuta kumbukumbu:

Utafutaji Rahisi

Elezea nani na nini unatafuta kwa maneno yako mwenyewe, na acha tufanye yaliyobakia.

Utafutaji Ulioboreshwa

Jaza taarifa mahususi kama jina, tarehe, na mahali pale unapohitaji udhibiti zaidi kwenye matokeo yako.

Unaweza kutumia moja wapo muda wowote kwa kutumia vichupo hapo juu.

Jinsi ya Kutumia Utafutaji kwa Neno Kamili wa FamilySearch

Katika hali nyingi, neno moja la msingi linatosha kuanzia. Kisha, kutegemeana na matokeo yako, ongeza au ondoa maneno au tumia vichujio ili kuboresha utafutaji wako.

Ingiza maneno yako ya msingi

Hili linaweza kuwa jina au maelezo mengine unayodhani yanaweza kukusaidia kuwapata mababu zako.

Tumia vichujio kwa ajili ya usahihi

Hivi vinapatikana upande wa kushoto wa skrini, chini ya maneno yako ya utafutaji.

Pitia tena matokeo yako.

Rekebisha vichujio vyako au maneno ya msingi hadi pale unapokuwa wa usawa sahihi wa ubora na ujazo.

Jinsi Utafutaji kwa Neno Kamili unavyobadilisha utafutaji wako.

Okoa muda wakati ukigundua maelezo ambayo huna kwa kutumia utafutaji mwingine.

  • Pata ufikiaji wa mwanzo kwenye kumbukumbu kwa kutafuta mikusanyiko ambayo bado haijawekewa vielezo.

  • Huna hakika kuhusu jina la babu yako? Jaribu mahali, tarehe, tukio au maelezo mengine ambayo yanaweza kuunganishwa kwao.

  • Tafuta kila neno lililo kwenye kumbukumbu, ikiwa ni pamoja na mihutasari yoyote.

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara