Tafuta maana na asili ya jina lako la mwisho.

Jina lako la ukoo linaweza kufungua ugunduzi kuhusu urithi wako.

Shiriki:

Jina la mwisho ni nini?

Jina la mwisho,pia likijulikana kama jina la familia au jina la ukoo, kwa kawaida hurithishwa kutoka kizazi kimoja hadi kingine. Majina ya ukoo yanaweza kutoa umaizi kwenye ukoo wa mtu, utamaduni wake, au asili ya kijiografia.

Jina la mwisho ni nini?

Hii inagharimu nini?

Kila kitu kwenye FamilySearch ni bure. Kuingia kutaongeza uzoefu wako—kutengeneza mti wa familia, kutafuta asili yako na kupata kumbukumbu.

Ingia kwa kutumia:
Hii inagharimu nini?

Maswali ya mara kwa mara kuhusu majina ya ukoo

Gundua zaidi kwenye FamilySearch

Tunatoa mwongozo na nyenzo bila malipo ili kukusaidia wewe ufanye ugunduzi zaidi wa historia ya familia.

Tafuta mababu

Kumbukumbu inaweza kufunua maelezo mapya na kujaza nafasi wazi za hadithi ya familia yako.

Tengeneza mti wa familia

Ongeza kile unachokijua kwenye mti wako, na tutakusaidia kupata zaidi kadiri tunavyosonga.

Pata msaada wa vizazi

Hauko peke yako. Tunatoa mwongozo na nyenzo—ana kwa ana na mtandaoni.

Fikia FamilySearch

FamilySearch hukusaidia utafiti urithi wako, uwagundue mababu zako na uunganike na historia ya kina ya familia yako.

Ingia kwa kutumia: