App za Simu za FamilySearch
App za FamilySearch zinachochea ugunduzi wa familia wakati wowote na popote uvumbuzi huo unapotokea.
Fanya Ugunduzi wa Familia
Pakua appi hizi za simu za bure za FamilySearch ili kuunganika na familia yako katika vizazi vyote.

Mti wa Familia
App ya nasaba iliyoshirikishwa kikamilifu kuongezea kwenye, kuhariri, na kushiriki hadithi yako ya familia.

Kumbukumbu
Ni kitabu cha picha na hadithi ambacho huleta furaha kwa familia yako sasa na katika siku zijazo.

Get Involved
Njia ya kufurahisha ya kusaidia kufanya kumbukumbu za kihistoria ziweze kupekuliwa bila malipo mtandaoni.
