Vizazi

Vizazi vya FamilySearch ni mwongozo mkubwa wa miti ya familia, pia ukijulikana kama koo na chati, ambazo watu na taasisi wameushiriki na FamilySearch. Tunapangilia taarifa kwenye mikusanyiko na kuifanya ipatikane kwa ajili ya wewe kutafuta.

Tafiti moja ya mikusanyiko yetu

Ndani yake utapata maelfu ya miti ya familia iliyowasilishwa na watu na taasisi zenye weledi.

Tafuta mti maalumu

Acha tukusaidie kutafuta mti unaoutafuta. Ingiza jina la ukoo au mahali panapohusiana na familia, na tutapatafuta kwenye mikusanyiko yote.

Tazama miti yote
Usahihi wa Juu wa Data

Miti ya Jumuia

Juhudi ya kukusanya na kuchapisha vizazi kwa ajili ya mji wote au jumuia yote. Hii ni miti ya familia, sambamba na vyanzo vyao, kuanzia kipindi mahususi na maeneo ya kijiografia kuzunguka ulimwengu.

Tazama miti yote kwenye mkusanyiko huuMtafute Mtu
Usahihi wa Juu wa Data

Vizazi kwa njia ya masimulizi

Nasaba na historia kwa njia ya mazungumzo kutoka maeneo ya ulimwenguni kote, hususani Afrika na Oceania. FamilySearch inahifadhi faili la sauti na kutengeneza mti wa familia kutoka kwenye maudhui yake.

Tazama miti yote kwenye mkusanyiko huuMtafute Mtu
Usahihi wa Juu wa Data

Ushirika wa Mafunzo ya Jina-Moja

Mradi unaofokasi kwenye majina maalumu ya ukoo na watu wenye majina hayo.

Tazama miti yote kwenye mkusanyiko huuMtafute Mtu
Usahihi wa Kati wa Data

Miti Iliyotengenezwa kwa kompyuta

Mkusanyiko wa miti ya familia iliyoundwa na kompyuta. Komputa inatumia rekodi za kihistoria kutengeneza mti kwa ajili ya eneo mahususi na kipindi mahususi cha muda.

Tazama miti yote kwenye mkusanyiko huuMtafute Mtu
Usahihi wa Data Usiojulikana

MyTrees.com

Mkusanyiko uliofungwa uliotengenezwa na watumiaji wa miti ya familia kwenye MyTrees.com kabla ya 2020.

Tazama miti yote kwenye mkusanyiko huuMtafute Mtu
Usahihi wa Data Usiojulikana

RootsFinder

Mkusanyiko unaokua wa miti ya familia iliyotengenezwa na watumiaji kwenye RootsFinder. Taarifa mpya inaongezwa mara kwa mara kwenye mkusanyiko huu.

Tazama miti yote kwenye mkusanyiko huuMtafute Mtu
Usahihi wa Data Usiojulikana

Mababu wa Kiamerika

Miti ya familia iliyotengenezwa na watumiaji kwenye AmericanAncestors. Mkusanyiko unajumuisha vizazi vyenye muunganiko imara kwenye mkoa Mpya wa Uingereza wa Marekani.

Tazama miti yote kwenye mkusanyiko huuMtafute Mtu
Usahihi wa Data Usiojulikana

Faili la Nyenzo za Chati ya Vizazi

Mkusanyiko unaokua wa mafaili ya GEDCOM wenye mamia ya mamilioni ya majina. Ikiwa mti wa familia yako upo kwenye faili la GEDCOM, tafadhali zingatia kuushiriki na FamilySearch ili kwamba watu wengine waweze kutafuta maudhui yake.

Tazama miti yote kwenye mkusanyiko huuMtafute Mtu
Usahihi wa Data Usiojulikana

Faili la Mababu

Mkusanyiko uliofungwa wa miti ya familia na taarifa nyingine zilizowasilishwa kwenye FamilySearch kabla ya 2003. Tafuta data hii isiyo na chanzo wakati ambapo taarifa ambayo ni mpya zaidi haipatikani.

Tazama miti yote kwenye mkusanyiko huuMtafute Mtu

Ni jinsi gani Vizazi vya FamilySearch ni tofauti na Mti wa Familia wa FamilySearch?

Vizazi ni kanzidata ya makumi elfu ya miti binafsi ya familia, koo na historia zingine. Mti wa Familia wa FamilySearch, kwa kufananisha, ni mti mmoja au ukoo kwa ajili ya familia yote ya mwanadamu.