Tengeneza mti wako wa familia bila malipo
Anza na kijenzi chetu cha kiautomatiki cha mti wa familia. Tazama mti wako ukikua, na fanya ugunduzi wa urithi wa familia.


Kujenga Mti wa Familia kumefanywa kuwa rahisi.
Kijenzi cha mti cha kiautomatiki kitakuongoza. Utaanza kwa kuongeza wazazi wako na mababu zako. Usijali—taarifa zote kuhusu watu walio hai zinatunzwa kwa faragha.
Mti shirikishi wa Familia ulio mkubwa zaidi
Unapoongeza kile unachokijua, mfumo utaanza utafutaji kwa ajili ya mababu zako katika Mti wa Familia wa Ulimwenguni Kote. Wakati kinachooana kinapopatikana, taarifa yote hiyo mpya inaweza kuongezwa kwenye matawi yako mwenyewe.


Mabilioni ya kumbukumbu za kupekuliwa kiautomatiki
FamilySearch ina mabilioni ya nyaraka za kihistoria kama vile kumbukumbu za kuzaliwa, tanzia na kumbukumbu za sensa. Mti wa Familia kiautomatiki utapekua kwa ajili ya mababu zako katika kumbukumbu hizi na kutoa vidokezo ambavyo huzalisha ugunduzi mpya.
Kila kitu kwenye FamilySearch ni bure
Jisajili ili kupata kuingia kwenye Mti wa Familia, mabilioni ya kumbukumbu za kihistoria, na mengine mengi.