Tafuta Kumbukumbu za Kihistoria

Kumbukumbu hutengeneza mtiririko wa karatasi kwa ajili ya mababu zako na zinaweza kukuongoza kwenye maelezo muhimu kuhusu maisha yao. Ingiza jina, na tutatafuta kwenye vyeti vya kuzaliwa, uandikishaji wa ndoa, kumbukumbu za sensa na nyaraka zingine rasmi.

Unganisha kwenye ukurasa kwa ajili ya kuvinjari mikusanyiko yote.

Tafuta Mkusanyiko

Kumbukumbu ya mababu zako ni ya mkusanyiko wa nyaraka zinazofanana—Ubatizo wa Ajentina, kwa mfano, au Sensa ya Marekani, 1940. Kutafuta mkusanyiko mahususi ni njia moja ya kupunguza utafutaji wako. Ikiwa hujui kichwa cha habari cha mkusanyiko, anza kuandika, na tutajaribu kukusaidia.

Vinjari Mikusanyiko yote
Unganisha kwenye ukurasa kwa ajili ya kuvinjari maeneo yote.

Tafuta kwa Eneo

Mikoa tofauti ya ulimwengu inahitaji mbinu tofauti za utafutaji. Ingiza eneo, na tutakuonesha nyenzo na rasilimali tulizonazo kukusaidia kuwagundua mababu zako walioishi huko.

Vinjari Maeneo

Kumbukumbu ya kihistoria ni nini?

Kumbukumbu ya kihistoria ni nyaraka rasmi ambayo hutambua tukio katika maisha ya mtu. Mifano hujumuisha leseni za ndoa, kadi za jeshi, vyeti vya kuzaliwa na kumbukumbu za sensa.

Mchoro wa mtu akitafuta aina tofauti za kumbukumbu za kihistoria.

Ni kwa jinsi gani kumbukumbu za kihistoria hunisaidia nijifunze kuhusu familia yangu?

Kumbukumbu za kihistoria mara nyingi huweza kufunua maelezo muhimu kuhusu wapi familia yako iliishi au ilipotokea, lini washiriki wa familia walizaliwa au kufunga ndoa, na lini walifariki.