Historical sketch of the Sixteenth Regiment N.Y.S. Volunteer Infantry, April 1861-May 1863 : first reunion, Potsdam, N.Y., August 31st and September 1st, 1886

Waandishi

Lugha

English

Tarehe ya Uchapishwaji

1886

Mchapishaji

[publisher not identified]

Mahali pa Uchapishaji

[Potsdam, New York]

Kimwili

1 online resource (58 pages)

Mfululizo

Civil War unit histories. Part 3, The Union--Mid-Atlantic NY 1134

Muhtasari

Includes roster on p. 37-58.

To view a digital version of this item click here.

Mada

Mada za Kawaida

Maktaba ya Mada za Kibunge

Kuhusu rekodi hii

Skrini hii inaonesha maingizo ya katalogi ya kichwa cha habari ulichokichagua.

Kipengele cha Nakala hubeba taarifa kwa ajili ya kutafuta kitu cha kushikika. Angalia Namba ya Kupiga, Mahali na Upatikanaji ili kujua kama nakala ya kushikika inaweza kufikiwa.

Vitabu vingi, majarida na ramani vinapatikana kwenye Maktaba ya Kidijitali na vinaweza kufikiwa kupitia kiungo kilichoambatanishwa. Kazi ambazo zinalindwa kwa haki miliki hazipatikani kwa ajili ya kutazama mtandaoni.

Filamu/Mihutasari ya Kidijitali ina maelezo ya filamu ndogo ndogo au namba za picha ndogo ndogo. Baadhi ya vituo vya FamilySearch na maktaba washirika vinabaki na mikusanyiko ya filamu ndogo ndogo au picha ndogo ndogo zilizoazimwa. Ikoni ya kamera inaonesha vipengele ambavyo vinapatikana mtandaoni kidijitali.

Filamu zote ndogo ndogo zimefanywa kuwa za kidijitali na kwa sasa picha ndogo ndogo nazo huwekwa kwenye mfumo huo. Sababu za kwa nini picha kutoka filamu ndogo ndogo au picha ndogo ndogo zinaweza bado zisipatikane kidijitali kwenye FamilySearch.org hujumuisha:

  • Filamu ndogo ndogo zinaweza kupangwa kwa ajili ya kuskani baadaye.
  • Filamu ndogo ndogo zaweza kuwa zimeskaniwa, lakini zina mkataba, usiri wa data au kizuizi kingine kinachozuia kuzifikia. FamilySearch inafanya kila juhudi ili kuwezesha ufikiaji unaotegemea maamuzi ya watunza kumbukumbu na sheria zinazohusika.
  • Unaweza kuhitaji kuwa kwenye Kituo cha FamilySearch au Maktaba ya FamilySearch ili kupata picha za kidijitali kutoka filamu ndogo ndogo au picha ndogo ndogo. Baadhi zinaweza kukuhitaji kwamba uingie katika akaunti yako ya FamilySearch.