1846 tax list of Fulton County, Kentucky : books 1 and 2/ copied by Don Simmons ; typed and printed by Christine J. Batts and Cavita B. Olive
Waandishi
Lugha
Tarehe ya Uchapishwaji
Mchapishaji
Mahali pa Uchapishaji
Kimwili
Muhtasari
The following information is contained in this book: "Surname, given name, amount of land in acres, the watercourse if on one, value of land, males over 21, slaves over the age of 16, total slaves and the last digit is children in household between the ages of 5 and 17".-- t.p.
Also available on digital images.
Mada
Mada za Kawaida
Kuhusu rekodi hii
Skrini hii inaonesha maingizo ya katalogi ya kichwa cha habari ulichokichagua.
Kipengele cha Nakala hubeba taarifa kwa ajili ya kutafuta kitu cha kushikika. Angalia Namba ya Kupiga, Mahali na Upatikanaji ili kujua kama nakala ya kushikika inaweza kufikiwa.
Vitabu vingi, majarida na ramani vinapatikana kwenye Maktaba ya Kidijitali na vinaweza kufikiwa kupitia kiungo kilichoambatanishwa. Kazi ambazo zinalindwa kwa haki miliki hazipatikani kwa ajili ya kutazama mtandaoni.
Filamu/Mihutasari ya Kidijitali ina maelezo ya filamu ndogo ndogo au namba za picha ndogo ndogo. Baadhi ya vituo vya FamilySearch na maktaba washirika vinabaki na mikusanyiko ya filamu ndogo ndogo au picha ndogo ndogo zilizoazimwa. Ikoni ya kamera inaonesha vipengele ambavyo vinapatikana mtandaoni kidijitali.
Filamu zote ndogo ndogo zimefanywa kuwa za kidijitali na kwa sasa picha ndogo ndogo nazo huwekwa kwenye mfumo huo. Sababu za kwa nini picha kutoka filamu ndogo ndogo au picha ndogo ndogo zinaweza bado zisipatikane kidijitali kwenye FamilySearch.org hujumuisha:
- Filamu ndogo ndogo zinaweza kupangwa kwa ajili ya kuskani baadaye.
- Filamu ndogo ndogo zaweza kuwa zimeskaniwa, lakini zina mkataba, usiri wa data au kizuizi kingine kinachozuia kuzifikia. FamilySearch inafanya kila juhudi ili kuwezesha ufikiaji unaotegemea maamuzi ya watunza kumbukumbu na sheria zinazohusika.
- Unaweza kuhitaji kuwa kwenye Kituo cha FamilySearch au Maktaba ya FamilySearch ili kupata picha za kidijitali kutoka filamu ndogo ndogo au picha ndogo ndogo. Baadhi zinaweza kukuhitaji kwamba uingie katika akaunti yako ya FamilySearch.