Hifadhi Kumbukumbu za Familia
Hifadhi Kumbukumbu za Familia
Jaribu shughuli hizi rahisi ili kuanza kuhifadhi na kushiriki hazina zako muhimu za familia.
Haya ni baadhi ya mawazo ya kukuwezesha uanze.
Maisha yamejengwa na hadithi ambazo hutunza kumbukumbu ya shangwe na magumu ya maisha. Kuhifadhi hadithi zetu kunaweza kubariki vizazi vijavyo.
4 hatua
Pakia na shiriki picha
Step 2: Gusa kitufe cha (+). Chagua picha kutoka kifaa cha kutunzia cha kompyuta yako au kamera ya simu yako.
Unaweza hata kuleta picha kutoka Google, Facebook au Instagram.
Step 3: Ongeza taarifa muhimu kama vile ni nani (au kitu gani) yupo/kipo kwenye picha, kichwa cha habari, maelezo, tarehe au mahali.
Step 4: Bofya shiriki na chagua jinsi ambavyo ungependa kushiriki picha hiyo.
5 hatua
Simulia hadithi - Rekodi kumbukumbu
Step 2: Hadithi zinaweza kuchapwa au kuongezwa kama faili la PDF au la sauti.
Step 3: Gusa kitufe cha Ongeza Kumbukumbu (+) na uchague Tengeneza Hadithi (compyuta) au Andika Hadithi (simu).
Step 4: Ingiza kichwa cha habari cha hadithi.
Step 5: Ingiza maandishi ya hadithi kwa kutumia kifaa chako cha kuchapia au chaguo la imla.
Usihofie kama hadithi inaonekana fupi au kama huna muda wa kupitia tena au kuhariri. Fokasi kwenye kupata kumbukumbu—si lazima iwe imekamilika. Unaweza kurudi na kuhariri kama inahitajika.
Step 6: Weka mwonekano kuwa aidha wa Binafsi au kuonekana na Umma.
Step 7: Hiyari: Ogeza picha ambazo zinaongezea kwenye kuelezea hadithi.
Step 8: Bofya Hifadhi.
Step 9: Hadithi inahifadhiwa kwenye kumbukumbu zako. Unaweza kushiriki kiunganishi kwa njia ya barua pepe au ujumbe au kupitia mitandao ya kijamii.