Fanya Ugunduzi

Fanya Ugunduzi

Jaribu uzoefu huu kutafiti kuhusu taarifa tunazoweza kuwa nazo kuhusu familia yako.

Utafutaji wa Haraka

Chagua mababu au mwanafamilia. Kisha ingiza taarifa zake kwenye fomu ya utafutaji kadiri iwezekanavyo. Matokeo ya utafutaji yatajumuisha mfanano kutoka kumbukumbu za kihistoria, kumbukumbu, Mti wa Familia na jina la mwisho kwenye kanzidata.

Kidokezo: Je, hujui nini cha kuweka kwenye baadhi ya nafasi za fomu? Jaribu ubashiri wako kadiri uwezavyo au iache wazi.

Inahitajika

Jaribu Utafutaji kwa Jina la Ukoo

Ingiza jina lako la mwisho ili kupata maana na asili yake. Jina lako la mwisho linaweza kukupa vidokezo kwenye wewe ni nani na ulitoka wapi.

Fikiria kipimo cha vinasaba

Kipimo cha Vinasaba kinaweza kutoa taarifa kuhusu familia yako ambayo haiwezi kupatikana kwa njia nyingine. Ni rahisi tu kama vile kwa kutumia mate au kupitisha pamba ndani ya mashavu yako. Matokeo yanaweza kufunua chimbuko la mababu zako. Pia yanaweza kukutambulisha kwa binamu wa mbali ambao wanaweza kujua sehemu ya historia yako ya familia.