Tafuta Mababu Zako wa Kiafrika

Tafuta majina katika kumbukumbu za Kiafrika, miti ya familia, makaburi na historia za masimulizi.

Tafuta

Jenga mti wa familia ambao unakuunganisha kwa mababu zako

Shiriki mti wako pamoja na wengine.

Tumia kifaa chetu cha ubunifu rahisi ili kutengeneza mti wa kupendeza wa familia unaoweza kuuchapisha au kuutuma kwa wale uwapendao.

Anza Kujenga

Ongeza kile unachokijua kwenye mti wa familia yako.

Kadiri unavyoongeza taarifa, FamilySearch itatafuta miunganiko ya mababu zako ili kukusaidia kuendelea kujenga.

Anza Mti wa Familia yako

Kuhusu FamilySearch

Family Search imekuwa ikiziunganisha familia kwa zaidi ya miaka 100.

13.2B

Majina yanayoweza kutafutwa kwenye kumbukumbu ya kihistoria

601K

Vitabu vya kidijitali mtandaoni

6,614

Maeneo yenye FamilySearch

5.7B

Picha zilizochapisshwa kidijitali

32.5M

Ziara za kila mwezi

1.7B

Watu walio kwenye Mti wa Familia wa FamilySearch

FamilySearch ni shirika lisilo la kifedha

FamilySearch huwasaidia watu kugundua, kukusanya na kuunganika na wanafamilia wao—waliopita, waliopo na wa baadaye.

Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Anza na FamilySearch leo

FamilySearch hutoa njia mbalimbali za kujifunza zaidi kuhusu hadithi ya familia yako. Ili kupata manufaa yote, tengeneza akaunti ya bure.

Tengeneza akaunti

Au ingia ikiwa tayari una akaunti.