Pata familia yako. Jigundue mwenyewe.

Leta uzima katika historia ya familia yako kwa kuchunguza maisha ya wale waliokuja kabla yako wewe.

Anza kugundua hadithi ya familia yako

Pekua kwa ajili ya babu mahususi katika FamilySearch. Hata kisio lako bora litafaa.

Inahitajika

Gundua hadithi ya familia yako kupitia kumbukumbu za kihistoria.

Kwa kusanyiko letu la mabilioni ya kumbukumbu, unaweza kuunganisha pamoja historia ya mababu zako na kufanya hadithi zao kuwa hai.

Gundua hadithi ya familia yako kwa kupekua hifadhi ya nyaraka ya nasaba.

Pata mababu zako kwenye mti jumuishi wa familia mkubwa zaidi ulimwenguni.

Tuna zaidi ya wasifu wa kipekee wa zaidi ya bilioni moja katika mti wetu, na unakua. Ona kile ambacho wengine wamechangia kuhusu mababu zako.

Lisilo la Faida na bila malipo.

FamilySearch ni shirika lisilo la faida la kimataifa lililojitolea kusaidia watu kugundua hadithi za familia zao.