txtTitleRelated
Siku za Mapunziko, matukio mahsusi, na maisha ya kila siku yanaweza kutengeneza kumbukumbu nzuri sana ya kuwa na familia na kushiriki katika…
Mti wetu uliosanifiwa upya sasa unaonekana zaidi kama kurasa zetu za upekuzi wa kumbukumbu. Ni rahisi, na wazi, na za kuvutia. Vichujio vipya na mapendeleo na chaguzi za ziada kwenye paneli ya pembeni hukupatia nguvu zaidi juu ya upekuzi wako na jinsi unavyotazama matokeo yako. Ikiwa hujavitumia sana huko nyuma, ni ya thamani kupata kuvijua vyema zaidi! Jaribu kuwachunguza mababu sasa au jifunze zaidi kuhusu jinsi Tafuta Mti inavyofanya kazi.
Kwenye FamilySearch.org, una njia nyingi za kupata uzoefu wa shangwe wa historia ya familia. Sasa kwa vile una akaunti, ni wakati wa kuanza …