Kituo cha Kujifunza Miti ya Makundi ya Familia
Unganisha familia yako iliyo hai
Kusanya familia yako katika kundi, na kuona mti ule ule ulio hai. Husisha familia yako katika kushughulikia historia ya familia yao kama timu. Stawisha historia yako na picha, hadithi, na vyanzo.
Kutumia miti ya makundi ya familia
Miti ya kundi la familia ni aina ya kundi la familia ambalo huruhusu familia kufanya kazi pamoja katika Mti wa Familia.

Tengeneza kundi la familia
All members of a family group tree can copy people from private trees into a family group tree.
You can add cousins, aunts, uncles, brothers, sisters, and other living relatives to Family Tree.
Msimamizi wa kundi anaweza kuwaalika watu wajiunge na kundi la familia.
Kila mtumiaji wa FamilySearch anaweza kujiunga na hadi makundi ya familia 10. Ili kujiunga na kundi la familia, wewe lazima upokee mwaliko kutoka kwa msimamizi wa kundi.
Ikiwa wewe una mti wa kundi la familia, tumia kibadilishi pembeni juu kushoto kwa Mti wa Familia ili kubadili hadi mti wa kundi la familia kutoka kwa mti wako wa faragha.
In Family Tree, the portrait view displays your pedigree vertically. You and your descendants are at the bottom. Your ancestors are above you. You do not see your spouse’s ancestors.
Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
Ni nani anapaswa kutumia miti ya kundi la familia?
Miti ya kundi la familia inazinufaisha familia ambao wanataka kuona taarifa za kila mmoja katika Mti wa Familia. Wanaweza kushirikiana na kuelezea matukio muhimu ya maisha, picha, hadithi, na vyanzo kuhusu wenyewe na wao kwa wao.
Kama tahadhari ya kuwalinda watoto na vijana, ni matumiaji wenye umri wa miaka 18 tu ndio wanaweza kutengeneza kundi. Hata hivyo, watumiaji wote wanaweza kushiriki katika miti ya kundi la familia. Watumiaji chini ya umri wa miaka 18 wanaweza kupangiwa kama wasimamizi baada ya kundi kutengenezwa.

Je, makundi ya familia na miti ya kundi la familia ni kitu kimoja?
Hapana. Kundi la familia ni kundi la watumiaji wa FamilySearch ambao wameungana pamoja ili kutimiza kusudi la wote.
Mti wa kundi la familia ni mti ambao unatumiwa kwa pamoja na washiriki wa kundi lako na uwaruhusu washiriki wake kushirikiana na kuona watu wale wale walio hai.
Inawezakana kabisa kuongeza mti wa kundi la familia kwenye kundi la familia lililopo tayari!

Je, ninaweza kuwa katika zaidi ya mti mmoja wa kundi la familia?
Ndiyo, unaweza kuwa katika miti mingi ya kundi la familia.
Kwa sasa, unaweza kutazama mti mmoja wa kundi la familia kwa wakati ndani kivinjari chako. Hauwezi, kwa mfano, kufungua mti mmoja wa kundi la familia katika kichupo kimoja cha kivinjari na kuonyesha mti wa kundi tofauti katika kichupo kingine katika kivinjari kile kile.
Ikiwa unataka kufungua zaidi ya mti mmoja wa kundi la familia, ifungue katika vivinjari tofauti kama vile mti mmoja katika Chrome na mwingine katika Firefox.

Ni vipenegele gani ninaweza kutumia katika mti wa kundi la familia?
Katika mti wa kundi la familia, unaweza kutumia vipengele vinavyohusiana vya mti ule ule ambavyo vinapatikana wakati unapotumia mti wa umma, ikijumuisha vyanzo, vidokezo vya kumbukumbu, muda, kumbukumbu, mihtasari, na kadhalika.
Vipengele vichache vya Mti wa Familia havipatikani kwa ajili watu walio hai katika Mti wa Familia bila kujali kama wako katika mti wa faragha au mti wa kundi la familia.
Vipengele vichache vya Mti wa Familia havipatikani kwa ajili watu walio hai katika Mti wa Familia bila kujali kama wako katika mti wa faragha au mti wa kundi la familia.
- Mijadala
- Tafuta kwa jina
Je, kuna ukomo wa ukubwa kwa ajili ya miti ya kundi la familia?
Kundi la familia linaweza kuwa na hadi washiriki 500.
Hakuna ukomo wa idadi ya watu wanaoweza kuongezwa kwenye mti wa kundi la familia.
Hakuna ukomo wa idadi ya watu wanaoweza kuongezwa kwenye mti wa kundi la familia.
Ni nani anaweza kuona na kuhariri taarifa kuhusu mimi katika mti wa kundi la familia?
Washiriki wote wa kundiwanaweza kuona na kuhariri taarifa zote kuhusu wewe kama zinavyoonyeshwa katika ukurasa wako wa mtu wa Mti wa Familia
Ili kubadilisha jinsi jina lako na taarifa za mawasiliano zinavyoonekana kwa watumiaji wengine wa FamilySearch, tafadhali tembelea FamilySearch yako wasifu wa mtumiaji na mipangilio ya akaunti.
Ili kubadilisha jinsi jina lako na taarifa za mawasiliano zinavyoonekana kwa watumiaji wengine wa FamilySearch, tafadhali tembelea FamilySearch yako wasifu wa mtumiaji na mipangilio ya akaunti.
Ni kwa jinsi gani ninaweza kujua ni mti gani unaoonyeshwa na kuhama kutoka mmoja kwenda mwingine na kurudi tena?
Chini ya nembo ya FamilySearch, katika sehemu ya juu kushoto mwa skrini yako, utapata kichaguzi kipya ambacho hutambua ni mti gani wewe unatazama na kukuwezesha kubadili kati ya mti wako wa faragha na miti ya kundi lako la familia.
Je, ni kwa jinsi kuunganisha hufanya kazi katika mti wa kundi la familia?
Wakati unapoongeza mtu kwenye mti wa kundi la familia, unaweza kutengeneza kumbukumbu rudufu, na hiyo ni SAWA.
Ikiwa mtu yule yule anatokea zaidi ya mara moja ndani ya mti ule ule wa kundi la familia, unaweza ukitumia vipengele vya Unganisha kwa Utambulisho ili kuwaunganisha.
Kama rudufu ziko kwenye miti tofauti, haziwezi kuunganishwa. Kwa mfano, hauwezi kuunganisha kumbukumbu yako mwenyewe kutoka kwenye mti wako wa faragha na kumbukumbu yako mwenyewe katika mti wa kundi la familia.

Je, ninaweza kuingiza faili la GEDCOM katika mti wangu wa kundi la familia?
Uingizaji wa GEDCOM kwa ajili ya miti ya kundi la familia haupatikani kwa sasa.
Je, ninaweza kutumia app ya simu ya mkono ya Mti wa Familia pamoja na miti ya kundi la familia?
Kwa wakati huu, unaweza kutumia toleo la iOS la app ya simu ya mkono ya Mti wa Familia pamoja na miti ya kundi la familia.
App ya Android itakuwa na kipengele hiki katika siku zijazo.
App ya Android itakuwa na kipengele hiki katika siku zijazo.
Anza
Tengeneza kundi lako la familia na uanze kushiriki mti wako na familia yako.