Vizazi kwa njia ya masimulizi

Nasaba na historia kwa njia ya mazungumzo kutoka maeneo ya ulimwenguni kote, hususani Afrika na Oceania. FamilySearch inahifadhi faili la sauti na kutengeneza mti wa familia kutoka kwenye maudhui yake.

Mchoro wa watu wawili wakitafuta kumbukumbu za kihistoria katika maeneo tofauti ya ulimwengu.

Mawasilisho Hujumuisha taarifa kwenye vichwa vyao vya habari au maelezo ambao mara nyingi hujumusiha majina ya waliosailiwa, mababu wa kwanza, maeneo na majina ya ukoo. Yatafute hapa.