Miti ya Jumuia

Juhudi ya kukusanya na kuchapisha vizazi kwa ajili ya mji wote au jumuia yote. Hii ni miti ya familia, sambamba na vyanzo vyao, kuanzia kipindi mahususi na maeneo ya kijiografia kuzunguka ulimwengu.

Mchoro wa watu wawili wakitafuta kumbukumbu za kihistoria katika maeneo tofauti ya ulimwengu.

Mawasilisho Hujumuisha taarifa kwenye vichwa vyao vya habari au maelezo ambao mara nyingi hujumusiha majina ya waliosailiwa, mababu wa kwanza, maeneo na majina ya ukoo. Yatafute hapa.