Faili la Nyenzo za Chati ya Vizazi

Mkusanyiko unaokua wa mafaili ya GEDCOM wenye mamia ya mamilioni ya majina. Ikiwa mti wa familia yako upo kwenye faili la GEDCOM, tafadhali zingatia kuushiriki na FamilySearch ili kwamba watu wengine waweze kutafuta maudhui yake.

Mchoro wa watu wawili wakitafuta kumbukumbu za kihistoria katika maeneo tofauti ya ulimwengu.

Mawasilisho Hujumuisha taarifa kwenye vichwa vyao vya habari au maelezo ambao mara nyingi hujumusiha majina ya waliosailiwa, mababu wa kwanza, maeneo na majina ya ukoo. Yatafute hapa.