Kushika nafasi ya ibada ambayo imeshirikishwa na hekalu hakuhitaji hatua zo zote maalumu. Tazama taarifa ya ibada ya mtu huyo kama ambavyo kwa kawaida ungeweza kufanya hivyo kwenye tovuti ya FamilySearch au kwenye app ya Mti wa Familia. Ikiwa ibada fulani inaonesha ikoni ya hekalu la kijani na saa, hiyo inaweza kuombwa. Kama ibada ina ikoni ya hekalu la bluu, hiyo haiwezi kuombwa.
Muhtasari:
- Mtu anayeshiriki jina hilo na hekalu lazima awe na uhusiano. Mtu anayefanya ibada hiyo hafanyi.
- Kama unahifadhi nafasi ya ibada ambayo imeshirikishwa na hekalu, ibada hiyo haiwezi kushirikishwa upya na kundi la familia au mtu mwingine. Utaona ujumbe huu kama utajaribu kuushiriki tena: "haiwezi kushirikishwa tena."
- Kama unataka kushiriki ibada hizo na kikundi cha familia, ondoa kushirikishwa ibada na hekalu, na kisha uishiriki tena pamoja na kikundi cha familia.
Ikoni | Maana |
![]() | Ibada imeshirikishwa na hekalu na inaweza kuombwa. Kama unahifadhi mojawapo ya ibada hizi, ushikaji nafasi wako unaisha muda wake ndani ya siku 120. Kama huwezi kukamilisha ibada ndani ya siku 120, ibada inarudi hekaluni. |
![]() | Kama ibada haiwezi kuombwa, Mti wa Familia unaonyesha ikoni ya hekalu la bluu. Hizi ni baadhi ya sababu kwa nini huwezi kushikia nafasi ibada hii:
|
Makala zinazohusiana
Je, ninawezaje kuomba au kushikia nafasi ibada za hekalu kati Mti wa Familia?
Mtu fulani ameshikia nafasi ibada kwa ajili ya jamaa yangu wa karibu
Mtu fulani ameshikia nafasi ibada ambayo ninataka kuifanya
Ninawezaje kutazama ibada za wahenga wangu katika Mti wa Familia?
Ninaondoaje majina ya familia niliyoyashiriki na hekalu?