Kuwatagi watu katika kumbukumbu

Tagi huonyesha ni nani anayewakilishwa katika kumbukumbu—watu katika picha, hadithi au nyaraka.

Jinsi ya kuweka tagi

  1. Ikiwa ni picha, kwanza ruhusu hali ya tagi kwa kuchagua Tagi Watu. Kisha, gusa au bofya ili kuchagua eneo linalofaa la kumbukumbu (kama uso au jina).
  2. Ikiwa ni hadithi au nyaraka, gusa au bofya Tagi Watu kwenye kona ya chini ya mkono wa kulia.
  3. Kisha, tafuta jina la mtu kwa kuingiza jina au kitambulisho cha mtu kwenye dirisha la Tagi Watu. Ikiwa haimpati mtu huyo kwenye mti wako unaweza kuongeza jina kwa kuliandika wewe mwenywe.

Zaidi

Je, ninawezaje kutagi kumbukumbu za mababu au jamaa zangu?
Je, ninawezaje kuhariri au kufuta tsgi katika Kumbukumbu?

moduleTitle